Sunday, March 24, 2013

CHEZEA MCHAGA WEWE,

CHEZEA MCHAGA WEWE,HAHAHA
Mangi alikufa alipofika mbinguni
akaulizwa na
MALAIKA: "Kushoto kwako ni peponi,
kulia ni Jehanam....ungependa uende
wapi?"
MANGI: "Nitabaki katikati ya Peponi
na Jehanam."
MALAIKA: "Kwanini?!"
MANGI: "Nikifungua duka hapo wote
wa Peponi na Jehanam watafika
kununua bidhaa..:SEMA WACHAGA
OYEEEE!

No comments:

Post a Comment