Sunday, March 24, 2013

Elimu ya TZ..

Elimu ya TZ..
Dogo la 4m3 akiongea na
mwenzake wakiwa tuition mapambano,
ghafla akawa anapita mwalimu wao..
Dogo: Toka lini mwalimu Zohan afundishe
masomo yote yeye mwenyewe, yani
history, hesabu, biology, chemistry na
kiswahili jamani.... Khaaa
Mwl. Zohan: Uliza utawala wenu toka lini
mwanafunzi mmoja akremu masomo yote,
wee computer?? Ntaacha kufundisha mpk
waongeze mishahara...

No comments:

Post a Comment